Utafiti mpya umeonyesha kuwa watu milioni tano unusu kote duniani wanakufa kila mwaka kutokana kuchafuka kwa mazingira.Zaidi
ya nusu ya watu waliokufa wanaripotiwa kutoka nchini China na India
ambapo ukuaji wa uchumi umechangia uchafuzi mkubwa wa hewa.
Viwanda, magari na uchomaji wa makaa ya moto ndivyo vimechangia zaidi.
Kupumua hewa iliyochafuka husababisha magonjwa ya kupumua na saratani ya mapafu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni