MCHUNGUZI B OPEN SCHOOL....
Ndio Habari ya Mujini sasa basi inakutangazia
nafasi za masomo kuaanzia kidato cha 1 mpaka cha 6,Qt na
Reciters...
karibuni nyote mliokosa nafasi Mchunguzi A open school masomo
yataanza rasmi tarehe 24/2/2016 Fika uwanja wa J.K.Nyerere Nane nane Morogoro.
Pia unaweza kujipatia form zetu buree kupitia ofisi za posta maeneo yafuatayo Posta kuu jijin Dar es salaam, Kilindi , Handeni ,Tuliani , Kilosa , Karagwee, SUA na Mzumbe na maeneo mengine nchini Tanzania

mawasiliano zaidi wasiliana na Mkurungenzi Mkuu Mchunguzi kwa simu namba
0755 555 066
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni