welcome

welcome

Jumamosi, 13 Februari 2016

Nafasi ya masomo


MCHUNGUZI B OPEN SCHOOL....
Ndio Habari ya Mujini sasa basi inakutangazia nafasi za masomo kuaanzia kidato cha 1 mpaka cha 6,Qt na Reciters...
karibuni nyote mliokosa nafasi Mchunguzi A open school masomo yataanza rasmi tarehe 24/2/2016 Fika uwanja wa J.K.Nyerere Nane nane Morogoro.

Pia unaweza kujipatia form zetu buree kupitia ofisi za posta maeneo yafuatayo Posta kuu  jijin Dar es salaam, Kilindi , Handeni ,Tuliani , Kilosa , Karagwee, SUA  na  Mzumbe na maeneo mengine nchini Tanzania
mawasiliano zaidi wasiliana na Mkurungenzi Mkuu Mchunguzi kwa simu namba  0755 555 066

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni